Psalms 52:8

Neema Ya Mungu

8 aLakini mimi ni kama mti wa mzeituni
unaostawi katika nyumba ya Mungu,
nautegemea upendo wa Mungu usiokoma
milele na milele.
Copyright information for SwhNEN